Changu Chako, Chako Changu

Uhuru wa Nchi za Afrika Mashariki na Kati

Imechapishwa:

Tunatupia jicho bara la Afrika, hususan, Afrika Mashariki na Kati, ambapo, Mwezi wa Sita nchi nyingi Afrika Mashariki na Kati zinasherekea uhuru wa nchi hizo. Miaka zaidi ya 50 zimepita, tumetoka wapi? Tupo wapi? Na Tunaenda wapi? Kwenye utamdauni tunaangazia kijana anayejiajiri kwa kutumia kipaji chake cha kutengeneza viatu na mikono yake. Muziki kama kawaida na wasikilizaji wanateta kuhusu upana wa lugha ya Kiswahili Afrika Mashariki na Kati.

Code for Africa aims to fund various open-data projects across Africa.
Code for Africa aims to fund various open-data projects across Africa. Code for Africa
Vipindi vingine