Habari RFI-Ki

Maandamano ya upinzani yaanza tena nchini Kenya

Sauti 09:38
Mfuyasi wa muungano wa upinzani nchini Kenya CORD akiwa amebeba bango wakati wa maandamano dhidi ya tume ya taifa ya uchaguzi IEBC 06 Juni 2016
Mfuyasi wa muungano wa upinzani nchini Kenya CORD akiwa amebeba bango wakati wa maandamano dhidi ya tume ya taifa ya uchaguzi IEBC 06 Juni 2016 REUTERS/Thomas Mukoya

Katika makala haya utasikia maoni mbalimbali kutoka kwa wasikilizaji kuhusu maandamano ya muungano wa upinzani nchini Kenya CORD dhidi ya tume ya taifa ya uchaguzi IEBC wakati huu serikali ya Kenya ikisisitiza kutokuwa na mazungumzo nje ya bunge.