Jua Haki Zako

Sheria dhidi ya ubakaji nchini Kenya na Tanzania

Sauti 09:30
Wanawake nchini Afghanistan
Wanawake nchini Afghanistan Eric Draper

Juma hili tunaangazia sheria dhidi ya ubakaji na suala zima la haki za binadamu juu ya tatizo hilo. Wanawake wamekuwa wakikumbwa na tatizo hilo mara kwa mara.