Habari RFI-Ki

Jeshi la polisi Tanzania lapiga marufuku maandamano ya vyama vya siasa

Sauti 10:06
Rfikiswahili

Katika makala haya utasikia ufafanuzi wa kisheria kuhusu marufuku ya maandamano ya vyama vya siasa na mikutano ya hadhara nchini Tanzania na maoni ya wananchi kuhusu marufuku hiyo, Karibu.