Habari RFI-Ki

Bajeti zimekidhi matarajio ya raia Afrika mashariki?

Sauti 10:05
Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania John Magufuli
Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania John Magufuli AFP Photo/Daniel Hayduk

Mawaziri wa Fedha, uchumi na mipango kutoka mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki,  wamewasilisha bajeti za nchi zao kwa wakati mmoja, bajeti ambazo baadhi zimepongezwa na baadhi zimekosolewa.Wasikilizaji wana maoni gani kuhusu bajeti hizo?je matarajio yao yamefikiwa?