Jua Haki Zako

Ukiukwaji wa haki za Waafrika Ugaibuni

Sauti 09:04
Mwanamke kutoka Indonesia akiandamana na kuishutumu nchi ya Saudia Arabia kuwa na tabia za kinyama kwa wafanyakazi wa ndani kutoka Indonesia.
Mwanamke kutoka Indonesia akiandamana na kuishutumu nchi ya Saudia Arabia kuwa na tabia za kinyama kwa wafanyakazi wa ndani kutoka Indonesia. AFP PHOTO / ADEK BERRY

Juma hili tunaangazia ukiukwaji wa haki za binadamu kwa wafanyakazi wa ndani wanaotoka Afrika Mashariki na kufanya kazi ugaibuni, hususan, Mashariki ya Kati. Hali tete imewakumba vijana wengi kutoka Afrika Mashariki wanapojikuta wanaenda kufanya kazi nje na mbali ya nchi zao na mambo kuwa tofauti walivyotegemea.