Habari RFI-Ki

Wanasiasa waliotoa matamshi ya kichochezi watiwa mbaroni Kenya

Sauti 10:13
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga REUTERS/Goran Tomasevic

Katika makala haya utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu kauli za kichochezi zilizotolewa na wanasiasa wa Kenya na athari zake kwa wananchi, Karibu