Habari RFI-Ki

Kifo cha simu bandia Tanzania

Sauti 10:07
Mtumiaji wa simu akiwa na toleo la awali la simu ambayo ni halisi
Mtumiaji wa simu akiwa na toleo la awali la simu ambayo ni halisi PATRICK BAZ / AFP

Katika makala haya watanzania wanazungumzia hatua ya kuzimwa kwa simu bandia  na namna walivyo athirika, lakini pia Meneja mawasiliano wa mamlaka ya mawasiliano tanzania TCRA aelezea ufanisi wa zoezi hilo.