Habari RFI-Ki

Museveni kushirikiana na Upinzani kuijenga Uganda baada ya Uchaguzi

Sauti 09:58
Raisi wa Uganda Yoweri Museveni
Raisi wa Uganda Yoweri Museveni REUTERS/James Akena

Karibu katika makala ya habari rafiki, Raisi wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema yupo tayari kushirikiana na kufanya mazungumzo na vyama vya upinzani, ili kuijenga Uganda baada ya uchaguzi.Hayo yanajiri wakati huu Kiongozi wa upinzani, Kizza Besigye akiwa bado anazuiliwa katika gereza la Luzira.Unaizungumziaje kauli hii ya rais Museveni na kushikiliwa kwa Besigye? Je, hii ni mbinu ya kuimarisha demokrasia au kudhoofisha upinzani?