Tamthilia nchini Tanzania
Imechapishwa:
Sauti 20:10
Tamthilia au michezo ya kuigiza ya jukwaani nchini Tanzania, hali yake ipo je? Nafasi yake katika historia na utamaduni ni ipi? Mtaalamu wa sanaa hiyo, Godfrey Mngereza kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) anateta nasi. Sikiliza uelimike na uburudike kama ilivyo desturi ya kila siku.