Sheria na haki ya kuandamana nchini Tanzania
Imechapishwa:
Sauti 09:06
Juma hili tutaangazia sheria na haki ya kuandamana au kujumuika nchini Tanzania. Ana Henga, mwanasheria kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, anafafanua sheria na haki hiyo ya msingi.