Habari RFI-Ki

Wanaowapa mimba wanafunzi nchini Tanzania kwenda jela miaka 30

Sauti 09:29
Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania RFI/BILALI

Kufuatia sheria iliyopitishwa na wabunge wa Tanzania katika marekebisho ya sheria ya elimu, kwa sasa watu wanaowapa mimba wanafunzi na kuoa ama kuolewa na wanafunzi watakwenda jela miaka 30, karibu usikie maoni ya wachangiaji kuhusu sheria hii.