Habari RFI-Ki

Sudan Kusini kutosherehekea uhuru mwaka huu

Sauti 09:48
Rais Salva  Kiir na makamu wake Riek Machar wakiimba wimbo wa taifa baada ya kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa 26 April 2016.
Rais Salva Kiir na makamu wake Riek Machar wakiimba wimbo wa taifa baada ya kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa 26 April 2016. Reuters/Stringer

Leo katika makala haya utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu Sudani Kusini kutosherehekea uhuru kutokana na uhaba wa fedha