Habari RFI-Ki

Siku ya Uhuru nchini Burundi

Sauti 09:46
Rais wa sasa wa Burundi, Pierre Nkurunziza.
Rais wa sasa wa Burundi, Pierre Nkurunziza. AFP/LANDRY NSHIMIY

Siku ya leo tunaangazia uhuru wa nchi ya Burundi, tarehe Mosi, Mwezi wa Saba ya kila mwaka tokea mwaka 1962. Ni miaka 54 sasa tokea taifa hilo la Afrika ya Kati, ipate uhuru kutoka wakoloni Ubeligiji. Kama kawaida ungana na wasikilizaji wengine wakiweka bayana maoni yao juu ya siku muhimu kama ya leo nchini Burundi.