Habari RFI-Ki

Mauaji ya wakili Kimani yazua maandamano nchini Kenya

Sauti 10:15
Wananchi wakiandamana jijini Nairobi kupinga mauaji yaliyotekelezwa na maafisa wa polisi kwa  wakili Willie Kimani na wenzake wawili
Wananchi wakiandamana jijini Nairobi kupinga mauaji yaliyotekelezwa na maafisa wa polisi kwa wakili Willie Kimani na wenzake wawili RFI/ABUSO

Katika makala haya utasikia maoni ya wananchi kuhusu mauaji yaliyotekelezwa na maafisa wa polisi nchini Kenya dhidi ya wakili Willie Kimani, mteja wake na dereva wa tax .