Habari RFI-Ki

RFI KISWAHILI YAADHIMISHA MIAKA 6

Sauti 16:32
Keki ya RFI Kiswahili miaka 6 ya utangazaji moja kwa moja kutoka Dar es salaam Tanzania.
Keki ya RFI Kiswahili miaka 6 ya utangazaji moja kwa moja kutoka Dar es salaam Tanzania.

Leo, RFI Kiswahili inaadhimisha miaka 6 tangu ilipoanza kukuletea matangazo yake moja kwa moja kutoka jijini Dar es salaam nchini Tanzania.RFI Kiswahili inakuletea Habari za dunia hadi hapo ulipo, Makala mbalimbali na muziki. Tuna wanahabari kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kuhakikisha kuwa unapata habari za dunia.