Mjadala wa Wiki

Ziara ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu barani Afrika

Sauti 16:28
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Julai 5 2016
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Julai 5 2016 SIMON MAINA / AFP

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekuwa ziarani barani Afrika. Amezuru Kenya, Uganda, Rwanda na atakuwa Ethiopia siku ya Alhamisi.Katika ziara hii, anajadiliana kuhusu maswala ya usalama na biashara.