Changu Chako, Chako Changu

Miaka 5 ya Uhuru Sudan ya Kusini

Sauti 20:27
Wanajeshi wa Sudani ya Kusini wakiwa kwenye ukaguzi nchini mule.
Wanajeshi wa Sudani ya Kusini wakiwa kwenye ukaguzi nchini mule. ALBERT GONZALEZ FARRAN / AFP

Juma hili tunasafiri hadi Sudani ya Kusini na kuangaza siku ya uhuru wa nchi hiyo. Licha ya miaka mitano ya uhuru, bado nchi hiyo inakumbwa na hali tete ya kiusalama.