Habari RFI-Ki

Hali tete Sudani Kusini.

Sauti 09:19
Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir.
Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir. Charles Atiki Lomodong / AFP

Habari Rafiki siku ya leo inatupia jicho hali tete ya Sudani Kusini. Ni nini thuluhu ya kudumu kwa taifa hilo changa la Afrika ya mashariki na kati? Wasikilizaji wanateta.