Mapigano mapya Sudan Kusini

Sauti 12:24
Maelfu ya watu wametoroka Juba au wameyakimbia makazi yao kutokana na mapigano.
Maelfu ya watu wametoroka Juba au wameyakimbia makazi yao kutokana na mapigano. AFP PHOTO / UNMISS/BEATRICE MATEGWA

Katika makala haya tunajadili na wachambuzi wetu kuhusu mapigano mapya yaliyoibuka hivi karibuni nchini Sudan Kusini. Karibu.