Changu Chako, Chako Changu

Jambo Kenya

Sauti 20:46
Rais wa Kenya, Uhuru Keyatta akiwa katika picha na katibu mkuu wa umoja wa Mataifa, Ban Ki moon
Rais wa Kenya, Uhuru Keyatta akiwa katika picha na katibu mkuu wa umoja wa Mataifa, Ban Ki moon Kenya Govt

Leo tutasafiri hadi Kenya, tukiangaza historia, utamaduni, jamii na muziki kama kawaida. Makinika nasi kama ilivyo desturi ya kila Jumapili.