Jua Haki Zako

Utungwaji wa sheria nchini Tanzania

Sauti 09:34
Mahakamani.
Mahakamani. REUTERS/Francois Lenoir

Juma hili tunaangazia, utungwaji na upitishwaji wa sheria na haki za binadamu nchini Tanzania. Je, wananchi na uma kwa ujumla wanashiriki kikamilifu kwenye michakato hiyo muhimu na misingi ya demokrasia kwenye taifa. Naemy Silayo, wakili na afisa wa programu kwenye dawati la jinsia na watoto kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, anafafanua mengi juu ya suala hilo.