Habari RFI-Ki

Magufuli kukabidhiwa kijiti cha uenyekiti wa CCM taifa Julai 23 1016

Sauti 09:58
Mwenyekiti wa CCM rais mstaafuwa Tanzania Jakaya Kikwete (Katikati) akiwa na baadhi ya viongozi wa chama hicho
Mwenyekiti wa CCM rais mstaafuwa Tanzania Jakaya Kikwete (Katikati) akiwa na baadhi ya viongozi wa chama hicho

Katika makala haya leo utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi CCM nchini Tanzania utakaofanyika kesho Julai 232016  kwa lengo la kumkabidhi rais John Pombe Magufuli uenyekiti wa chama kitaifa kutoka kwa mwenyekiti anayemaliza muda wake rasi mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, Karibu.