Jua Haki Zako

Sheria mpya nchini Tanzania, miaka 30 jela.

Imechapishwa:

Naemy Silayo, wakili na afisa programu kwenye dawati la jinsia na watoto kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, anafafanua sheria mpya iliyotolewa nchini Tanzania dhidi ya wanaume wanaowapa mimba wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Wanaume hao kupewa adhabu ya miaka 30 jela wakibainishwa na kosa kama hilo.

Mwanafunzi wa kike akisoma.
Mwanafunzi wa kike akisoma. Charlie Dupiot
Vipindi vingine