Habari RFI-Ki

Umoja wa Mataifa na Hali ya Usalama nchini Burundi

Sauti 10:03
Umoja wa Mataifa, mjini New York.
Umoja wa Mataifa, mjini New York. UN Photo/Evan Schneider

Hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura kama itatuma jeshi la polisi la Umoja wa Mataifa nchini Burundi huku serikali ya Burundi ikibainisha kuwa haitahitaji polisi wa Umoja wa Mataifa wanaozidi 50. Majadiliano yanaendelea. Kama kawaida ya kipindi hiki, wasikilizaji wanachangia mawazo yao.