Jua Haki Zako

Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania sehemu ya mwisho

Sauti 10:40
Moja ya mahakama barani Afrika.
Moja ya mahakama barani Afrika. Crédit: Wikimedia Commons

Fuatilia sehemu hii ya tatu na ya mwisho juu ya sheria na haki za binadamu nchini Tanzania. Wakili Naemy Silayo na Afisa kwenye dawati la jinsia na watoto, Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, anatoa wito kwa serikali na wanananchi wa Tanzania.