Mazungumzo kati ya serikali na Upinzani nchini Tanzania suluhu ya mvutano?

Sauti 09:01
Mwanasheria mkuu wa chama cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Tundu Lissu picha ya maktaba
Mwanasheria mkuu wa chama cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Tundu Lissu picha ya maktaba DR

Leo katika makala ya habari rafiki tunaangazia hali y akisiasa nchini Tanzania,.Wito umetolewa na baadhi ya wanasiasa juu ya haja ya kufanyika mazungumzo ili kumaliza hali ya mvutano wa kisiasa kati ya upinzani na serikali...una maoni gani msikilizaji!Je yana umuhimu kufanyika sasa?ni wakati muafaka?Kwa vyama vya siasa kuendelea na misimamo yao kuna tija yoyote kwa taifa?Nini kifanyike kuhakikisha kunakuwa na maridhiano kati ya wadau na vyama vya siasa?