Jando na Unyago Tanzania na Kenya sehemu ya pili
Imechapishwa:
Sauti 21:06
Sehemu ya pili ya mada juu ya Jando na Unyago Afrika Mashariki. Makinika na wadau wakiteta kwenye makala haya. Pia pata burudani ya muziki kama ilivyo desturi ya kila Jumapili kupitia makala haya.