Habari RFI-Ki

Wabunge wa upinzani nchini Tanzania warejea bungeni baada ya kususia vikao 32

Imechapishwa:

Katika makala haya leo tunaangazia kuanza tena kwa vikao vya Bunge la 11 nchini Tanzania ambapo wabunge wanaotoka vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA wameshiriki na kuapa kuhudhuria vikao vya bunge hilo kinyume na vikao vilivyopita ambapo walisusia kwa siku 32.

Bunge la Tanzania
Bunge la Tanzania nomad.sleepout.com
Vipindi vingine