Dula mwanamuziki wa Rege asiekuwa na Dredi

Sauti 10:58
Mwanamuziki Dula
Mwanamuziki Dula facebook/dulawetu

Makala Muziki Ijumaa Ali Bilali amezungumza na Dula, msanii wa miondoko ya Rege asiekuwa na Dredi ama Rasta. ambatana naye kumfaham zaidi Dula anaendelea kusumbua anga la Muziki wa Rege nchini Kenya ambapo hivi karibuni ataanza mpango wa kuzunguuka Afrika Mashariki na kati kuutangaza Muziki wake. Angalia pia moja miongoni mwa video zake Singing the same songs na Usikosi kutufollow kwa instagram kupitia billy_bilali