Habari RFI-Ki

Wanawake na urembo

Sauti 10:09
Wanawake na urembo.
Wanawake na urembo. Getty Images/Stone/Adrianna Williams

Siku ya leo tunaangazia hali halisi ya wanawake kutumia kiasi kikubwa cha fedha zao kwenye urembo kuliko kwenye masuala ya maendeleo zaidi. Wasikilizaji wanazungumza hali ya mambo.