Habari RFI-Ki

Waanga wa Tetemeko la Ardhi Bukoba Wanazungumza

Imechapishwa:

Waanga wa tetemeko la ardhi iliyotokea siku kumi na mbili zilizopita mkoani Kagera nchini Tanzania, wanazungumza kuhusu hali halisi inayowakumba kwa sasa na misaada mbali mbali wanazopata kutoka serikali na wahisani wengine.

Bukoba Mjini
Bukoba Mjini
Vipindi vingine
  • Image carrée
    02/06/2023 09:30
  • Image carrée
    01/06/2023 09:30
  • Image carrée
    01/06/2023 09:32
  • Image carrée
    30/05/2023 09:29
  • Image carrée
    29/05/2023 09:38