Habari RFI-Ki

Ruksa Kwa Mikutano Ya Ndani ya Vyama Vya Siasa

Sauti 09:59
Nsato Mssanzya, Kamishna wa Mafunzo na Operesheni wa jeshi la polisi nchini Tanzania akizungumza na waandishi wa habari.
Nsato Mssanzya, Kamishna wa Mafunzo na Operesheni wa jeshi la polisi nchini Tanzania akizungumza na waandishi wa habari.

Jeshi la polisi nchini Tanzania limeruhusu mikutano ya ndani ya vyama vya siasa, ila, bado unashikilia msimamo wake ya kukataza mikutano ya hadhara na maandamano isipokuwa ile ya wabunge majimboni mwao kwa sababu za kiusalama. Wasikilizaji wa rfi-Kiswahili wanazungumza juu ya hatua hii ya polisi nchini Tanzania.