Jua Haki Zako

Uhaba wa dawa nchini Tanzania

Sauti 09:35
Sikika, shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania lililo mstari wa mbele kushawishi na kutetea utawala bora kwenye utawala wa sekta ya afya.
Sikika, shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania lililo mstari wa mbele kushawishi na kutetea utawala bora kwenye utawala wa sekta ya afya.

Leo katika makala haya ya Jua Haki Zako tutatupia jicho mada ya haki ya afya bora na kupata huduma bora za afya. Huku tukitupia jicho changamoto inayoikumba taifa la Tanzania kwenye suala la uhaba wa dawa na jitihada zinapaswa kufanywa mapema iwezekanavyo ili kutatua tatizo hili. Mkurugenzi wa Sikika nchini Tanzania, Irenei Kiria anaweka bayana kwa kina sababu ya changamoto hii na mapendekezo ya kulitatua hali hii nchini Tanzania.