Mjadala wa Wiki

Ziara ya rais wa DRC nchini Tanzania

Sauti 12:27
Rais wa Tanzania, John Magufuli akiwa na mgeni wake rais wa DRC, Josephu Kabila wakati alipowasili jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Rais wa Tanzania, John Magufuli akiwa na mgeni wake rais wa DRC, Josephu Kabila wakati alipowasili jijini Dar es Salaam, Tanzania. Ikulu/Tanzania

Katika makala haya leo tunaangazia ziara ya rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila nchini Tanzania, karibu usikie maoni na mitazamo ya wachambuzi kuhusu ziara hii.