Habari RFI-Ki

Walimu wanafunzi kufukuzwa

Sauti 10:16
Moja ya shule kwenye dunia yetu.
Moja ya shule kwenye dunia yetu. Marco Mark

Leo tunatupia jicho walimu wanafunzi wanne kufukuzwa kwenye uwajibu wao wa udahili baada za tuhuma za ukatili kwa mwanafunzi wa sekondari mjini Mbeya.