Habari RFI-Ki

Vita ya rushwa na ufisadi nchini Kenya

Sauti 10:19
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na makamu wake William Ruto katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Nairobi, Julai 21 mwaka 2015.
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na makamu wake William Ruto katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Nairobi, Julai 21 mwaka 2015. REUTERS/Noor Khamis

Katika makala hayautasikia maoni kuhusu vita dhidi ya rushwa nchini Kenya na Afrika kwa ujumla, chanzo cha rushwa, sababu za kuendelea na nini suluhu yake, Karibu.