Habari RFI-Ki

Changamoto ya kuvuja mitihani ya kitaifa yashughulikiwa Kenya,Tanzania

Sauti 10:07
Wanafunzi wameanza mitihani ya kitaifa kumaliza darasa la nane nchini Kenya
Wanafunzi wameanza mitihani ya kitaifa kumaliza darasa la nane nchini Kenya Wikimedia/Dolapo Falola

Karibu katika makala ya habari rafiki,tunaangazia mafanikio yaliyopigwa katika kuzuia kuvuja kwa mitihani Afrika mashariki wakati huu ambapo wanafunzi wa sekondari Tanzania na shule ya msingi nchini Kenya wakifanya mitihani yao.