Habari RFI-Ki

Tanzania: Mwaka mmoja wa Rais John Magufuli, madarakani

Sauti 10:00
Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli.
Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli. REUTERS/Thomas Mukoya

Mahakala ya Habari Rafiki hii leo inazungumzia mwaka mmoja wa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ambapo tarehe tano ya mwezi Novemba, ndio anatimiza mwaka mmoja rasi toka alipoanza kazi.Wananchi wanazungumziaje utawala wake?