Habari RFI-Ki

Maadili mabaya ya watoto wa shule na vijana nani wa kulaumiwa?

Sauti 10:27

karibu katika makala ya habari rafiki!Leo tunaangazia jukumu la kusimamia maadili ya watoto,vijana katika jamii ni la nani?Hivi karibuni kumeshuhudiwa kuibuka kwa makundi ya vijana yanayojiingiza katika vitendo vya kihalifu.Lakini pia ukosefu wa nidhamu kwa watoto wa shule,kuyumba kwa usimamizi wa malezi ya watoto,nani wa kulaumiwa?