Habari RFI-Ki

Wito wa ujumbe wa baraza la usalama kwa nchi ya DRC kuhusu amani

Sauti 10:00
Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wakipiga kura.
Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wakipiga kura. UN Photo/Loey Felipe

Makala ya habari rafiki leo imeangazia wito uliotolewa na ujumbe wa baraza la usalama la umoja wa Mataifa uliotembelea nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kutaka kudumishwa kwa amani na usalama kwenye nchi hiyo.Wito huu utafua dafu?