Habari RFI-Ki

Kenya yaahirisha kuifunga kambi ya Dadaab kwa miezi sita

Sauti 09:34
Kambi ya wakimbizi ya Dadaab iliyoko kaskazini mwa jiji la Nairobi nchini Kenya
Kambi ya wakimbizi ya Dadaab iliyoko kaskazini mwa jiji la Nairobi nchini Kenya AFP PHOTO/Tony KARUMBA

Katika makala haya utasikia maoni kuhusu hatua ya serikali ya Kenya kuahirisha kuifunga kambi ya Dadaab  kwa miezi sita, karibu.