Changu Chako, Chako Changu

Usanifu wa mitindo nchini Tanzania

Sauti 20:55
Husna Tandika, msanifu wa mitindo kutoka Tanzania. Picha na Swahili Fashion Week.
Husna Tandika, msanifu wa mitindo kutoka Tanzania. Picha na Swahili Fashion Week.

Leo tunateta utamaduni wa mavazi ya kiasili kutoka Tanzania. Msanifu wa mitindo, Husna Tandika wa H & A Dress to Impress kutoka Tanzania anafafanua kwa kina.