Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Wimbi la wahubiri wafanyao miujiza tata ni uhuru wa kuabudu uliopitiliza?

Sauti 09:15
Viongozi wa dini wamekuwa chachu ya mabadiliko ya tabia za watu na maendeleo ya nchi husika
Viongozi wa dini wamekuwa chachu ya mabadiliko ya tabia za watu na maendeleo ya nchi husika Online
Na: Martha Saranga Amini
Dakika 10

Nabii wa aina yake nchini Afrika kusini ametetea hatua yake ya kuwapulizia usoni dawa ya kuua wadudu wafuasi wanaofika kuombewa na kudai kuwa hatua hiyo huwaponya watu dhambi zao.Picha za muhubiri huyo Lethebo Rabalago zimesambaa katika mitandao ya kijamii,ameiambia tovuti moja kuwa wapo watu walioponywa kupitia dawa hiyo.Msikilizaji unazungumziaje wimbi la wahubiri wenye mbinu tata za maombezi na miujiza katika siku za hivi karibuni?Kwanini watu wanasaka miujiza?

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.