Habari RFI-Ki

Serikali na upinzani nchini Kenya zalaumiana kuhusu ufisadi

Sauti 09:52
Rais Uhuru Kenyatta, akitia saini moja ya miswada kuwa sheria hivi karibuni, juma hili ametia saini muswada wa sheria ya kupata taarifa kuwa sheria rasmi.
Rais Uhuru Kenyatta, akitia saini moja ya miswada kuwa sheria hivi karibuni, juma hili ametia saini muswada wa sheria ya kupata taarifa kuwa sheria rasmi. State House Kenya

Wanasiasa nchini Kenya wameendelea kulauamiana kuhusu vita dhidi ya upinzani.Upinzani unadai kuwa viongozi wa serikali ni wafisadi lakini serikali nayo inasema wanasiasa wa upinzani ni wafisadi pia.Tunazungumza na Wakenya.