Nyumba ya Sanaa

Msanii Susumila wa Mombasa Kenya azungumzia sanaa yake

Sauti 20:13
Msanii Susumila wa Mombasa Kenya baada ya tumbuizo la mwisho wa mwaka 2015, jijini Mombasa
Msanii Susumila wa Mombasa Kenya baada ya tumbuizo la mwisho wa mwaka 2015, jijini Mombasa MEDIAMAX, Kenya

Makala Nyumba ya sanaa juma hili inazungumza na msanii wa aina yake Susumila kutoka mjini Mombasa pwani ya Kenya, ambapo ameeleza mafanikio aliyoyafikia tangu kuanza sanaa ya muziki. Susumila ameiambia RFI Kiswahili kwamba amepiga hatua kubwa katika kukuza kipaji chake.