Changu Chako, Chako Changu

Eneo la Kariakoo mjini Dar es salaam

Sauti 20:40
Soko la Kariakoo mjini Dar es salaam. Picha na Architectuul.
Soko la Kariakoo mjini Dar es salaam. Picha na Architectuul.

Wasanii na wasanifu wa majengo wanateta juu ya eneo la Kariakoo kihistoria na kiutamaduni wakati wa maonyesho ya eneo hilo kwenye kituo cha ushirikiano wa kiutamaduni wa Ufaransa iliyopo mjini Dar es salaam na muziki kidogo kama ilivyo desturi ya makala haya.