Mjadala wa Wiki

Mauaji wilayani Kasese nchini Uganda

Sauti 08:02
Eneo la  Rwenzururu, nchini Uganda
Eneo la Rwenzururu, nchini Uganda Wikimedia

Mwishoni mwa wiki iliyopita, watu zaidi ya 80 walipoteza maisha baada ya makabiliano kati ya walinzi wa Mfalme wa eneo la Rwenzururu Charles Mumbere na maafisa wa usalama.Je, hili ni tatizo la kisiasa ua kiusalama ? Victor Abuso anachambua suala hili kwa kina na Kenneth Lukwago akiwa jijini Uingereza na Brian Wanyama Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kibabii mjini Bungoma nchini Kenya.