Changu Chako, Chako Changu

Wasanii wa Tinga Tinga Wanazungumza

Sauti 20:59
Vikatuni vya Tinga Tinga vikionyeshwa kwenye runinga, France 5, nchini Ufaransa.
Vikatuni vya Tinga Tinga vikionyeshwa kwenye runinga, France 5, nchini Ufaransa. France 5/Droits réservés

Wasanii wa michoro aina ya Tinga Tinga wanazungumza juu ya michoro hiyo, hususan, zinavyotumika kuonyesha taswira ya eneo la kariakoo mjini Dar es salaam, nchini Tanzania.