Habari RFI-Ki

Kilichotokea Gambia ndio demokrasia mpya ya Afrika

Sauti 10:00
REUTERS

Makala ya habari rafiki hii leo inaangazia kilichotokea nchini Gambia, ambapo muungano wa vyama vya upinzani ulipata ushindi, ambapo Adama Barrow alifanikiwa kumshinda, Yahya Jammeh, rais wa Gambia aliyetawala nchi hiyo kwa miaka 22, je, hii ndio demokrasia mpya? wasikilizaji wetu wanaeleza mtazamo wao na maoni yao kwenye makala haya.